Shuleni, hosteli na kazini. Maana na sifa za nyimbo za harusi 3m 16s; 108. PDF Hadithi za kale za kusisimua pdf Shida yake haikuwa kumtesa Adam bali kumweka mbali na mwana (Reshmail) ambaye alikuwa amempagawisha ipasavyo katika mapenzi ya jinsia moja.Suala la pesa halikuwa tatizo hata kidogo alichohitaji ni kutimiziwa alichotaka. By clicking on Pre-register button you are about to pre-register the upcoming games through APKPure App Store. Mzee Manyama hakuamini kwani alikuwa akiwaza ni namna gani atamshawishi mwanae aweze tena kurejea shuleni baada ya matatizo yote yaliyojitokeza kwa mchumba wake Adam ambaye hadi wakati huo bado mwili wake ulikuwa haujapatikana wala taarifa yoyote zaidi ya nguo zikiwa na matundu ya risasi na damu. ,,,nani Sefu?,,, Ulikuwa mshikemshke wa ghafla pale shuleni mwalimu aliamuru kila mmoja aje mstarini hata kama ni mgonjwa,viranja walitii amri na kuita wanafunzi wote kwa haraka hakuna hata mwanafunzi mmoja aliyebaki ndani ya bweni. Huku napo kijijini kweli huyo nae sijui ni mgonjwa sasa usiku huu atapata wapi lifti ya gari mama Reshmail alimwambia dereva wake alipoona watu wawili wakisimamisha gari, ah!! Vidole vikiwa juu kama muimba taarabu Eve alimchambua Resh,"Mh! "Mheshimiwa lakini huu ni upelelezi wa awali tunaendelea zaidi na zaidi tutazidi kutoa taarifa kadri tunavyopata majibu mapya" alijieleza kwa utulivu bila wasiwasi kabisa jambo ambalo kidogo lilirejesha amani ya Manyama japo hofu tayari ilishaukumba moyo wake kwamba huenda Adam ameuwawa tena kikatili. Miaka ilizidi kukatika wazo la Bi. Activate your 30 day free trialto continue reading. The developer provided this information and may update it over time. Alinyanyuka na kuondoka bila ya kuaga huku akimuacha yule dada anamuita ili ampatie kadi bila ya mafanikio. Nahisi umri wake ni kama miaka 28 hivi. "Njema. Jun 09. simulizi za mahaba kitandanihifu before and after jawline. "Reshmail hayupo? 1:38:48. somber dawn spawn timer; northeastern university hockey roster; jefferson davis inmate roster; Egypt Travel April 15, 2022. UCHAWI UPO SHUHUDA ZA KWELI Usitupeleke kwa kasi sawa eeh,alitoa malekezo Reshmail na kukubaliwa na dereva kwa sababu hawakuwa na haraka yeyote ila mbele yao yalikuwa bado masaa mengi sana kabla ya harusi kufanyika. Njia za kukusanya fasihi simulizi: kurekodi kwa filamu na video 7m 44s; 11. STORY ZA MAPENZI TAFUTA HAPA. "Mungu wangu amakweli Eve steringi jamani yaani kirahisi hvyo" alijisemea Resh kwa sauti ya chini akidhani Eve amelala tayari "Futa sms ya huyo mjnga nitamalizana nae" kwa saut ya kivivu Eve alimwambia Resh. Alipopiga mara ya pili simu ilipokelewa. Funda la hasira lilimkaba kooni alitamani kufanya lolote lile wakati huo lile jambo liwe ndoto kwake, machozi yaliyotoka ndio yaliyeyusha lile fundo japo kidogo,hasira kali ilikuwa imemkaba Bite aliyekuwa amekaa siti ya nyuma na jamaa mwenye Bunduki katika koti lake lakini maskini hakuwa na la kufanya hadi gari lilipoingia ndani ya ngome ile, * * * * *, Macho ya Reshmail yalitawaliwa na taswira ya yule mtoto Christian,zilikuwa ni siku nyingi zimepita tangu afungue album yake kumwangalia mpenzi wake (Adam) aliyeaminika kuwa tayari ni marehemu.Ni katika usiku huu alipokuwa akipitia album ya Eveline ndipo tena anakutana na picha ya Adam ambayo yeye (Adam) alimpa Eveline walipoenda Mwanza.Eveline,Eveline,Eve.huyu hapa ni nani???. mwalimu wa zamu alikuwa anamuuliza mwanafunzi aliyeagizwa kumuita Reshmail baada ya mama yake kuwa amefika,"Hata mi sijui mwalimu". Nikatoka nje na kusimama mlangoni. Adam,Reshmail na Bite wote kwa pamoja wakakumbatiana huku machozi yao yakitua juu ya Christian aliyekuwa ktikati yao,ilikuwa ni picha ya kusisimua na kuumiza sana. katika safari yako uliyokuwa unasafiri kwenye meli.ulibeba kitu ndani ya begi lako..kitu hicho kilikuwa kinahabari kuhusu majini na viumbe wa kimiujiza! Kweli badala ya bwana na bibi Manyama kuegemea upande wa mashtaka ili mama Adam apewe adhabu la wao waliunga mkono kwamba Reshmail alikuwa na makosa mahakama ikatupilia mbali mashtaka hayo na mama Adam akawa huru,jambo hilo badala ya kurudisha undugu liliongeza chuki na uadui. Wabaya hao aliongea kwa hasira Eve huku akisitisha zoezi la kula chungwa aliliokuwa anafanya kwa wakati ule. mimi sio SIKITU lakini nilishndwa kujtetea nilichokiona sikuamin ni ufalme wa.. ajabu ambao ckuwai kuona mandhar nzur kama ile mara ghafla nilshtuka toka ucngizn nkiwa na mawazo juu ya ile ndoto niliamka na kujiandaa ili niende chuoni. nakupenda sana neema, nami pia nakupenda alisema huku akianza kuingiwa na wacwac kutokana na jins mwalmu wake alvyokuwa anazid kubadilka na kumfanyia mambo yacyo ya kawaida. Niliomba kazi sehemu nyingi tofauti lakini sikupata bahati ya ajira. In this course, we will discuss the following lessons: SOMO MKE CHANGUDOA Chaguo langu ni wewe MAPENZI YA UJANA TARATIBU SHEMEJI HAKI YANGU HIMAYA YA PINK MKE CHANGUDOA NATAKA KUIZAA SIMULIZI ZA MAPENZI SOMO. Au mmoja wenu ndio mama yake?, hapana sisi si ndugu zake ilaaliishia njiani katika maongezi yake Resh baada ya kukatishwa na yule askari ila nini? "Na ufanye kweli mi narekebisha mambo nyie tanueni kwa raha zenu na pia kuhusu yule wa H.G.L vipi?" Kwa mwendo wa kinyonga kabisa gar lilifika mbele ya nyumba ya Eve majira ya saa nne usiku na hakuna aliyekuwa ameschoka sana.Shamrashamra zilikuwa kubwa sana maeneo ya pale kwa Eve kelele zilizidi alipofika Reshmail, na kama alivyoaahidi kweli alishuka yeye peke yake kutoka katika gari akifuatiwa na dereva,urembo wake utadhani alikuwa amepembwa tayari kuingia ukumbini. "Mi nipo peke yangu siku hizi rum-mate wangu ameenda kwao babake anaumwa" "Don't tell me kuwa unalala mwenyewe", "Mh! "Alitania Resh na wote wakajikuta wanacheka. Marafiki zake taratibu wakaanza kumtenga wakiamini ameathirika,hilo halikumuumiza kichwa kwani alilitegemea sana hasa hasa dhana ya unyanyapaa kwa waathirika iliyokuwa inatawala chuoni hapo. alijiuliza Reshmail akiwa chumbani mwake katika hosteli ya Ngulelo aliyokuwa amepanga chumba alichoishi peke yake. |. Safety starts with understanding how developers collect and share your data. simulizi za mahaba kitandani. Rita alipotoa ruhusa ya Sefu kuingia ndani,alichokifanya,alichukua khanga na kujiziba kwa kuishikiria bila kujifunga huku akijua Sefu hachukui muda ataondoka ili aendelee na kuvaa,,mara baada ya Sefu kuingia ndani,alimtupia jicho la wizi ambapo alikutana na jicho la Rita likimwangalia,,unaangalia nini bwana,embu tafuta kilichokuleta,, "Vp ninatisha sana au,yan hadi ufumbe macho sawa tu" alilalamika Resh,"Natania mrembo lakin si unajua tena nitajiumiza", "Ok! "He rehema mbona upo hivi yani umechafuka na hizo nywele zako zimevulugika inaonesha kama umepatwa na matatizo", niliulizwa na rafiki yangu ambae nilikuwa nikisomanae tulipokutana njiani, Aah! Hapana,, "Kwanza samahan sana kwa usumbufu uliojitokeza", "Usijali na mimi niwape pole kwa matatizo yaliyojitokeza hapa". Makala mbovu zilizokuwa zinaandikwa na gazeti la chuo lililojulikana kama Saut voice ndo zilinizonivuta zaidi kutaka na mimi siku moja kuandika katika gazeti hilo lililokosa mvuto siku za hivi karibuni makala nzuri itakayorudisha heshima ya gazeti hilo.Taratibu nilijenga mazoea na hatimaye nikafanikiwa kumzoea "THE MOST WANTED" ucheshi wangu ndio uliomvutia zaidi kupenda kuwa karibu nami pamoja na mchezo wa mpira wa miguu kwani wote tulikuwa mashabiki wakubwa,haukupita mwezi mzima nikawa nina uwezo wa kuanza kazi yangu,ni mimi na Adam Michael kwenye meza moja chumban kwangu ananipa hadithi yake ya maisha yaliyomfanya awe kama alivyo. haya yupo tumemuhifadhi na tumepeleka taarifa kwenye vyommbo vya habari wataanza kutangaza kama mama yake bahati mbaya haya atakuja kumchukua na kama amemtelekeza akajiandae kwenda kuishi kwa watoto yatima sisi hatuna uwezo wa kuhifadhi watu hapa zaidi ya mahabusu alijieleza askari yule huku akijipepea joto kwa kutumia kofia yake iliyochakaa, Majuma mawili yalipita bila mama wala ndugu wa motto kupatikana licha ya kituo cha redio maarufu mjini iringa cha Ebon fm kutangaza kila siku bila kukoma, eve naenda kumchukua yule motto nafsi yangu inanishauri hivyo na ni lazima nifate ambacho nafsi yangu inaniamuru Reshmail alimwambia Eve siku moja wakiwa wamekaa sebuleni wakiangalia habari katika luninga.Eve alikuwa amejenga tabia ya kutobishana na rafki yake huyo kwani furaha yake ilikuwa ni kumwona Reshmail akiwa na furaha tele, lakini Resh,mama yake si atamtafuta ssana? Siku mbili alizokaa pale hospitali hakuja hata mwanafunzi mmoja kutoka pale chuoni kuja kutoa pole kwa Reshmail wote waliogopa wakiamini alikuwa mshirikina . Sehemu ya 1 (ii) Describing the nature of reflection, given the matrix of the reflection. http://pseudepigraphas.blogspot.com/ Shoga yangu huyo alimnadi mganga wake kuwa ndiye aliyefanya yeye akapata kazi nzuri katika kampuni fulani ya michezo ya kubahatisha. April 24 . Picha zilipigwa kwa wingi lakini Christian hakuonyesha wasiwasi wowote mh!! Roho ilikuwa inamdunda Reshmail kwa kasi sana,aliamin kila kitu kitakuwa wazi na atafukuzwa shule,"Eve watanielewaje wazazi mie mh! "Hapana sio jambo la kawaida reshmail kutokuwa mazingira ya shule tena jumatatu! Safari za nyumbani zikawa zimepungua sababu ya ubusy wa kujisomea. * * * ** ** ** ** *, Baridi kali ya Mbeya ilikuwa imemkataa motto wa Bite (Christian) kwa hali hiyo alipotimiza miaka miwili waliondoka na kurudi tena Iringa ambapo Bite alitaka kukaa kidogo halafu aende Mwanza kuweka makazi mapya huko. asante sana ndugu yangu ama kweli ishi na watu uvae viatu alisema Bite kwa upole sana, usijali Bite tumeishi vizuri,hatukuwahi kugombana hata siku moja,tumetwishana matenga ya nyanya kwa nini sasa nishindwe kukutendea wema!! Form 4 Chemistry Organic Chemistry II Topical Questions and Answers. MWANDISHI : AISHA MAPEPE MUUZA BRA (Wakubwa tu: 18+) Mchana mmoja nilikuwa nyumbani peke yangu. Lilikuwa ni jambo gumu sana kwa Reshmail alikonda sana na punde si punde maneno ya wakosaji yakaanza tena "Mh! Maudhui. CHOMBEZO ! alitoa maelezo hayo yule mama na kueleweka vyema kwa Reshmail na Eveline. In this course, we are going to learn through several revision questions on integration and its applications. Simulizi Za Mapenzi. - Posts | Facebook Yaani mtu ameachiwa hewa impige yeye anaenda kuweka usiku tena na manguo yake kijana mmoja aliyekuwa amevaa jinsi kwa staili ya mlegezo aliwaambia wenzake, tulia wewe huenda ni mamake huyo alijibiwa na wenzake. More questions are being added continuously. http://pseudepigraphas.blogspot.com/ POKEA MCHAPO SASA Martha ni rafiki yangu wa karibu sana. Zangu kwa sababu nimekaa naye hadi saa nne tumemsubiri huyo mama yake aje wapi!! In this session, we are going to solve several exam standard questions. Gaude kuingia katika ofisi ya makamu mwalimu wa zamu . ikiwa hivyo nitaaibika kweli mimi"Alijiwazia Adam kwa mashaka makubwa kabla ya kujibu. Form 4 Oral Literature Revision Questions. Yaani nyie wanawake wa siku hizi suala la kujali watoto wenu hamtaki kabisa kulisikia mnachojali ni urembo tu wa sura zenu. Simulizi: NINI MAANA YA MAPENZI Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE Imeletwa kwenu na: PSEUDEPIGRAPHAS SEHEMU YA 1 Alikuwa binti mpole ila muongeaji sana, aliyelelewa katika mazingira ya dini, nyumba yao ilijihusisha zaidi na maswala ya dini kiasi kwamba hakutaka kujihusisha na maswala ya mapenzi kwa umri mdogo kwani akiangalia dada zake wote walikuwa kwenye ndoa zako, kwahiyo ndoto yake yeye . Get SIMULIZI TAMU ZA MAPENZI old version APK for Android, Download APKPure APP to get the latest update of SIMULIZI TAMU ZA MAPENZI and any app on Android, Download app hii ili upate kujifunza mapenzi kupitia simulizi tamu za mapenzi. Ulikuwa mpango kabambe uliosukwa na Bi. NAOMI SIMULIZI September 02, 2021 Read (Words) Add Comment Maisha yakabadilika hapo nyumbani kwao. (iii) Describe a given rotation using the matrix of transformation given. Don't let scams get away with fraud. Bahati mbaya muziki ulikuwa umezimwa hivyo ukumbi mzima ulishuhudia tukio hili la kushangaza, mamaaaa!! lafu ndefuuuu,,,Alisema maneno hayo huku akiendelea kulishika dudu washa hilo lililotuna haswa,,,,mmmh,,na hapa ndio kichwa hake kilipoanzia eeh?,,,aliuliza hivyo huku mkono wake ukiwa kwenye kichwa cha dudu washa unakishikashika,,, Umependeza kweli sitaibiwa huko na wajanja,hebu ona ona mgongo wako utadhani huna mamba ulivyopendeza,ona kifua chako mpenzi wangu hapana nitaibiwa mke mie Adam alikuwa akimtania Bite huku akim funga zipu yake ya mgongoni, acha wivu mwanaume wewe,kaa ndani usubirie ya kwako aniibe nani wataishia kutamani tu! Mayowe yake yalivyozidi yakapoteza usikivu pale ukumbini na kila mtu kuanza kujiuliza kulikoni eneo lile, mama mama mama,huyu ni mwanangu..Christian jamani Bite kwa sauti ya juu sana akaanza kumwambia Eveline ambaye alikuwa amekodoa macho kuangalia anachofanya Bite pale mbele, kuna nini jamani Reshmail alishindwa kujiuliza akamvagaa Eve na kumuuliza. (Kimya). Adam alishangazwa sana na wema huo wa nesi lakini mshango wake uliongezeka maradufu baada ya kukutana na mume wa nesi siku ambayo walikuwa wakitambulishwa kwake kama shemeji zake yaani ndugu zake Bite.mzee huyu wa kinyakyusa aliyeitwa Gwakisa ni kama heshima ilipitiliza na kuwa kama anawanyenyekea wawili hawa. Ni makosa ya baba nipo tayari kuyabeba!". Alikuwa ni Hughorito Hamada ama maarufu kama 'HUHA'.hakuwa tu rafiki yake adam bali pia alikuwa ni mshirika wake wa chumba (room mate) na pia walisoma darasa moja la sheria pale chuoni,ni huyu aliyemuingiza Adam katika ulimwengu ambao hatausahau kamwe,tabia yake ya kupenda kuazima simu ya Adam aina ya Nokia Express music kwa dhumuni la kuchat katika mtandao maarufu wa kijamii wa facebook ndio ilimshawish Adam naye kuanza kujiuliza kulikoni hasahasa alipokuwa anamwona Huha akicheka mwenyewe kila anapokuwa anachat,"Mh! Darasa la Mapenzi. "Umesema nini malkia wangu!" Download Free PDF. utamsalimia mama eeh! karibuni! NIMEKUKOMESHA FULL STORY. Browse though questions and video solution for the Form 4 Physics topic on uniform circular motion. Simulizi Kutoka Jikoni - 1. Bite humuwezi huyu anaitwa mam Christian ni rafiki yangu tangu utotoni. Sefu alitii wito na kurejea mpaka kwa mwalimu wake,,,,kama unavyojua uwoga wa mwanafunzi kwa mwalimu wake,alisimama mbali kidogo,,,Sefu unaniogopa mwalimu wako,,,embu sogea hapa nilipo nataka nikuulize kitu mwanangu,,,akiwa katika hali ya uwoga Sefu alisogea na kumkaribia mwalimu wake ambaye alikuwa ameketi bado kwenye kiti,,,, Yeye ni katibu muhtasi, pia ni mhazini kwenye shirika moja la kiserikali lenye ofisi zake kwenye . mungu wangu ntafanya nn sas kama polc wakjua ntapona kwel, aljiulza neema huku akiwa na hofu akjua kuwa mwalmu wake amekufa almua kutoka nje na kuiyanza safar kuelekea ufukwen alpofka hakujua nn afanye "sas ntafanya nn mbona naandamwa na maovu ooh! press enterprise obituaries. Hapana, mimi? we kidume kwa jeuri ya bosi wako kujaribu kunidhurumu pesa yangu wakati wewe unakula na kulala bure hapa;lazima nimwonyeshe mimi ni nani na ni wewe utakayeumia aliongea Lwebe huku akipuliza moshi wa sigara hewani. Dakika chache baadaye waliwasili wanafunzi watatu ndani ya ofisi ya mwalimu mkuu,,aliyekuja kuleta kesi ambaye alijulikana kwa jina la Sheila,,Josna pamoja na Sefu,,, "Reshmail mwanangu,njoo malkia wangu,njoo mwanangu" aliyazungumza hayo huku akimkimbiza kwa nyuma. "Eve Eve Eve,amka uone wewe" Resh alikuwa anamwamsha kwa fujo. Beta. "Safi. Dada huyu alimkaribisha vizuri, yule kaka aliomba maji ya kunywa huku muda wote akimtizama kwa umakini dada huyu mrembo, aliyeumbika kila idara na ile kanga nyepesi aliyovaa ilikuwa ikionyesha umbo zuri la dada huyu ambaye waswahili huwa wanasema, mtoto kajaaliwa (mashalaah) Kaka alikuwa akivuta pumzi kwa haraka haraka, na kusema "Nimefurahi sana, umenikaribisha nyumbani kwako ni pazuri sana." Gari ya shule ilifika haraka Mwalimu Chipeta na viranja wawili pamoja na 'matron' walimsindikiza Naomi hospitali. If you like, use this post to tell readers why you started this blog and what you plan to do with it. Lessons are available in video format. The answers are detailed and well explained. Sijui nisemaje kuhusu suala la mapenzi , licha ya kuapa kutomhitaji tena yule kijana kufuatia hisia nilizopata wakati akiniminyaminya vidole sikumbishia Download Simulizi Mpya kila siku apk 1.6.0 for Android. . ,,,kuna kitabu cha Civics kipo kwenye vitabu vya kwenye droo hapo nakihitaji,mi sikuchungulii bwana,,, WAKUBWA TU 18+ WAANDISHI WA SIMULIZI SIMULIZI ZA SAUTI UCHAWI UPO SHUHUDA ZA KWELI SIMULIZI FUPI NA STORY ZA MAPENZI SIMULIZI ZA MAISHA SIMULIZI ZA KUSISIMUA CHOMBEZO SIMULIZI ZA KICHAWI CHOMBEZO PLUS+ SIMULIZI ZA KIJASUSI WASILIANA NASI/CONTACT US SIMULIZI MPYA - COMING SOON SIMULIZI NA HADITHI KUTOA MIMBA NA USHAURI MIMBA NA UZAZI Tv Series and Tv Shows WASAFI STORY BOOK MWALIMU WA KISWAHILI SALIM MSANGI NA ELIMU YA FREEMASON AFYA NA JAMII UFAHAMU NA MAARIFA WANAWAKE NA UREMBO NDOA UCHUMBA NA MAHUSIANO MAPISHI MBALIMBALI JUISI, MATUNDA NA MBOGAMBOGA TANZANIA COMPUTER TECHNOLOGY HISTORIA KILIMO UFUGAJI NA UVUVI DOCTOR LOVE FADHILI PAULO TABIBU WA TIBA ZA ASILI MZIZI MKAVU DAWA ZA TIBA MBADALA ZA MITISHAMB AFRICA SCHOLARSHIPS BIASHARA NA UJASIRIAMALI MIRADI YA KIJAMII UONGOZI NA UTAWALA STADI ZA MAISHA Registered and Accredited Institutions by Nacte TANZANIA COLLEGES AND INSTITUTIONS MASUALA MTAMBUKA TEHAMA NA UTANDAWAZI. "Eti! Darasa la Mapenzi. All answers are in video format. In this session, we are going to solve several questions on longitudes and latitudes. gari linaenda taratibu hilo jaman" alilalama Reshmail kwa wananch wa kawaida waliomsikia walidhani ni mashauzi na majigambo ya watoto wa kike, "Mh? "asante sana mwanangu nakupenda sana" mzee Manyama aliongea kwa furaha huku akimkumbatia mwanae. Magari makubwa ya mizigo yatokayo Morogoro kwenda Zambia na Malawi ndiyo yaliyotoa msaada kwa Bite na Adam ambapo Bite alijitambulisha kama mke wa Adam na kwamba wamevamiwa na majambazi na mumewe (Adam) amepigwa risasi. Nikiwa ndani nikichezea simu yangu nikasikia mtu akiwa anagonga hodi. ''James ni kijana ambae alipata nafasi ya kupata elimu ya sekondari ya nyateo iliyopo m. Chombezo : Shangazi Anataka. Ushairi simulizi huwasilishwa kwa njia ya mdomo mbele ya hadhira kwa kukaririwa, kughanwa au kuimbwa. Anhaa,,,usijali Sefu,achana nao hao wenzio,hawana akili,kuna vitu ambavyo unajua hutakiwi kuviona ukiwa kama mwanafunzi na hapa shuleni tunavipiga vita,,,unavijua? sijambo shkamoo! "Kwani we ukiwa unaota unaongea huwa kuna watu mbele yako?" Mgawanyo Wa Tanzu Na Vipera Vya Fasihi Simulizi. Kulikoni tena ndugu yangu yamekukuta yapi tena mwenzangu? alihoji nesi huku akiwa amechangamka sana safari hii, ni makubwa sana,lakini ningeupata msaada wako kwanza kwa mume wangu ndio tungeongea vizuri shoga alijibu Bite akiwa na matumaini tele, ondoa shaka shoga huduma mnaipata sasa hivi tena huduma bora,daktari tunaheshimiana naye sana na pia ni shemeji yangu nesi aliongea hayo huku wakisaidiana kumwingiza Adam ndani ya chumba cha wagonjwa,hapakuwa na maswali mengi,undugu ulitawala pale. Adam alipokea ujumbe kutoka kwa Reshmail akiwa maeneo ya kijiweni barabara ya lami kuelekea chuo kikuu cha mtakatifu Augustino,kupitia shule ya wasichana ya Ngaza.Adam alikuwa pamoja na rafiki yake (Huha) katika pikipiki ya rafiki yao aliyekuwa amewaazimisha wazungukiezungukie maeneo. In this session, several questions on acids, bases and salts will be solved. Walilala wote,walicheza wote na kusimuliana mambo mbalimbali.alipoenda kusalimia rafiki zake walienda wote Christian mkono wa kulia. Huwa siamini mambo hayo na pia mimi ni muoga wa mambo ya kishirikina. Hata kioo huwa kinaniambia hivyo. About this app arrow_forward Mapenzi ni matamu pindi unapompata anaekupenda kwa dhati. ! mlio mkali wa risasi ulisikika na kumzindua Bite ambaye alikuwa amepitiwa na usingizi pale kwenye mtalo,kidogo apige kelele lakini viganja vya mkono wake vikawahi kuuziba haraka sana. ,,,sasa wewe una ukubwa gani?,,, ,,,,mmmh,,haya ndio,,onyesha tuone,,, Itaendeleaa.. Ila ni kwa maoni yenu wadau wa page hii tulete uhondo huu like na comment tujue tupo pamoja bado.. Haya umeshindwa ambao hatuna waume tunalo,alijibu Eve kisha wakaagana. Yule dada alitabasamu na kusema "Asante sana, nimefurahi pia umeitikia wito wangu, samahani kwa usumbufu wangu". KUTOA MIMBA NA USHAURI Baada ya kuvunja amri ya sita kwenye sakafu ya ofisi hiyo Walda aliinuka na kupandisha sketi yake huku Sefu akiwa naye anaipandisha kaptura yake,baada ya wote kujiweka sawa,Sefu hakuweza kumtazama mwalimu wake usoni ambaye alikuwa kama mama yake,,,mmmh,siamini kama mtoto mdogo unajua hivi jamani,,,sasa baadaye mkitoka shule uje tena ofisini kwangu kuna zawadi nzuri nitakuwa nimekuandalia,,,alipozungumza hivyo Walda,alimruhusu Sefu kurudi darasani kisha yeye kuendelea na zoezi la kusahisha madaftari,,, Eve jamani achaga uongo yaani katoto kama kale jamani hebu kaone kale kadogo Reshmail alizidi kusisitiza lakini Eve alionyesha bado ana uoga na uchungu moyoni wa kuibiwa vitu vyake na watoto aliowaita machokoraa. Hakuwa mtu wa kulialia tena wala msongo wa mawazo haukumsumbua tena aliamini nafasi ya Adam ilikuwa imezibwa vyema na Christian ambaye alikuwa Adam mpya kwake. Ni wa kiume au wa kike? alihoji maswali mfululizo Adam huku akijitutumua kusimama kwa nguvu alizokuwa amezipata, ni stori ndefu na hapa sio mahali pake tuondoke tafadhali jitahidi kuna hatari kubwa kama unampenda mwanao jitahidi tuondoke aliongea Bite huku akiuweka mkono wa Adam katika bega lake na kuanza kumkongoja kutoka eneo lile huku (Adam) akitumia mguu mmoja na ule uliojeruhiwa ukiwa juu juu.kutoka pale walipokuwa hadi barabarani haukuwa umbali mrefu sana na walifanikiwa kufika,kwa giza nene lililokuwepo hawakuweza kuonekana na mtu yeyote,nguvu zilikuwa zinamwishia Adam kutokana na kuvuja damu lakini alijikaza kijasiri sana na kuendelea mbele, Lwebe na kundi lake baada ya kumpiga risasi mbili Adam waliamini katu asingeweza kunyanyuka kutoka katika eneo lile,na hata angeweza kuinuka hakuwa na pa kwenda hakuujua mkoa huo hata kidogo.